Wednesday, May 15, 2013

Pamoja kiaaa..............

Kitaa nikiwa nimejiachia fulu marahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Lete habari kjana.................

Bonge la Afro kama kawa

Saturday, March 16, 2013

Ziara iliyo fanywa na kundi la KAOLE SANAA GROUP kwenda kutembelea Bungeni....

 Katibu Mwenezi wa kaole akisalimiana na Mh Samweli Sita.
Hapa kiwa tena na Mbunge wa Kigoma Zito Kabwe.
  Kaole kiujumla wakiwa bungeni Dodoma
Omar na Ubaya wakiwa na mmoja wa waheshimiwa.