Tuesday, December 18, 2012

CHURA-MTU..azaliwa baada ya mimba iliyodumu miezi 13.....mtoto huyo hana ubongo wa mbele(kwa ajili ya kufikiri)....sehemu nyingine ya ubongo haijafunikwa kwa ngozi wala mfupa.....kwa kawaida watoto wa aina hiyo hufa baada ya saa chache.

CHURA-MTU..azaliwa baada ya mimba iliyodumu miezi 13.....mtoto huyo hana ubongo wa mbele(kwa ajili ya kufikiri)....sehemu nyingine ya ubongo haijafunikwa kwa ngozi wala mfupa.....kwa kawaida watoto wa aina hiyo hufa baada ya saa chache.kwa kweli hakuna anaye jua chochote zaida ya MUNGU.

Wednesday, December 12, 2012

Ni mchakato wa kundi la KAOLE SANAA GROUP katika mchezo wao mpya unaokaribia kuruka hivi karibuni katika kituo chako ukipendacho cha TBC1.

 Camera tamu sana kam ukiijua
 Mapumziko baada ya shootinig......


 chobala..Akiwa na waerembo wake..


 Ben Blanko akitoa maelezo katika scene hizo



 Kalinde akikabidhiwa vifaa baada ya kazi
 "Tembea hivi" Nimaneno aliyokua ananiambia Ben Blonko

 Hapa nimekaa na mtunzi wangu wa mchezo huu ( Ben Blanko)


 Maelekez ya scene mbalimbali
 Mapenzi ndo yalipoanzia

 Recording Ikiendelea







 Swebe akinionesha vitu ndani ya scene



 Nachukuliwa clozap. midd tight






Monday, December 3, 2012

Mchakato wa Wasanii wa KAOLE SANAA GROUP wakiwa Mazoezini.

 Mazoezi ya theta game kwa pamoja.
 Nikiwa nimekaa na Msanii Mkongwe nchini Bi Fatma Makongoro (Bi Mwenda)
 K/Tibu Mkuu Wa Kaole, Kalunde akiwa amekaa na wasanii.
 Baadhi ya Wasanii wakiwa makini Mazoezini.
Ben Blanko akiwa na mmoja wa wasani mazoezini.

Sunday, December 2, 2012

Bado nawaletea picha za michakato ya maisha yangu ya kila siku

 napunga upepo maeneo ya nyumbani.
 nikiwa na linex maeneo fulani hivi tukiwa tunaenda kula bata.weachatu.
 Mazoezin nikiwa na Msanii mwezangu MC Kenyata.

Huyo hapo juu ndiyo mama yangu kipenz na dada yangu pekee pia huyu ndiye baba yangu mzazi.

Friday, November 16, 2012