Saturday, May 24, 2014

Nikazi ambayo nimeshiri kucheza japokua ni kidogo lakin naamini utatambua nini nafanya katika Tasni ya Film Tanzania......

Nikazi ambayo nimeshiri kucheza japokua ni kidogo lakin naamini utatambua nini nafanya katika Tasni ya Film Tanzania...... Niwasanii wenge wa Kaole Sanaa Group walio shiriki.

Mwonekano wangu Mpya.....


R.I.P ADAM PHILIP KUAMBIANA.


Daima tutakukumbuka Tasnia ya Film yote kwa ujumla ndugu jamaa na marafiki......

WAFUTA NUKSI YA MIAKA TAKRIBANI TISA BILA KOMBE... (ARSENAL)



Wachezaji wa Arsenal wakishangilia kombe la FA walilo lipata katika mchezo mkali dhidi ya Hull city Ulio malizika kwa dak 120 katka Uwanja wa Wembley.....