Maisha popote pale, kuna vikwazo vingi katika maisha kwani hayo yote ni majaribu ya dunia hii na Majaribu ni mtaji wa kuongeza Imani. Mshirikishe MUNGU wako katika kila jambo lako. Nawapenda wote.