Maisha popote pale, kuna vikwazo vingi katika maisha kwani hayo yote ni majaribu ya dunia hii na Majaribu ni mtaji wa kuongeza Imani. Mshirikishe MUNGU wako katika kila jambo lako. Nawapenda wote.
Tuesday, December 18, 2012
CHURA-MTU..azaliwa baada ya mimba iliyodumu miezi 13.....mtoto huyo hana ubongo wa mbele(kwa ajili ya kufikiri)....sehemu nyingine ya ubongo haijafunikwa kwa ngozi wala mfupa.....kwa kawaida watoto wa aina hiyo hufa baada ya saa chache.
CHURA-MTU..azaliwa baada ya mimba iliyodumu
miezi 13.....mtoto huyo hana ubongo wa mbele(kwa ajili ya
kufikiri)....sehemu nyingine ya ubongo haijafunikwa kwa ngozi wala
mfupa.....kwa kawaida watoto wa aina hiyo hufa baada ya saa chache.kwa kweli hakuna anaye jua chochote zaida ya MUNGU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment