Monday, December 3, 2012

Mchakato wa Wasanii wa KAOLE SANAA GROUP wakiwa Mazoezini.

 Mazoezi ya theta game kwa pamoja.
 Nikiwa nimekaa na Msanii Mkongwe nchini Bi Fatma Makongoro (Bi Mwenda)
 K/Tibu Mkuu Wa Kaole, Kalunde akiwa amekaa na wasanii.
 Baadhi ya Wasanii wakiwa makini Mazoezini.
Ben Blanko akiwa na mmoja wa wasani mazoezini.

No comments:

Post a Comment