Sunday, December 2, 2012

Bado nawaletea picha za michakato ya maisha yangu ya kila siku

 napunga upepo maeneo ya nyumbani.
 nikiwa na linex maeneo fulani hivi tukiwa tunaenda kula bata.weachatu.
 Mazoezin nikiwa na Msanii mwezangu MC Kenyata.

Huyo hapo juu ndiyo mama yangu kipenz na dada yangu pekee pia huyu ndiye baba yangu mzazi.

No comments:

Post a Comment