Wednesday, December 12, 2012

Ni mchakato wa kundi la KAOLE SANAA GROUP katika mchezo wao mpya unaokaribia kuruka hivi karibuni katika kituo chako ukipendacho cha TBC1.

 Camera tamu sana kam ukiijua
 Mapumziko baada ya shootinig......


 chobala..Akiwa na waerembo wake..


 Ben Blanko akitoa maelezo katika scene hizo



 Kalinde akikabidhiwa vifaa baada ya kazi
 "Tembea hivi" Nimaneno aliyokua ananiambia Ben Blonko

 Hapa nimekaa na mtunzi wangu wa mchezo huu ( Ben Blanko)


 Maelekez ya scene mbalimbali
 Mapenzi ndo yalipoanzia

 Recording Ikiendelea







 Swebe akinionesha vitu ndani ya scene



 Nachukuliwa clozap. midd tight






No comments:

Post a Comment